sw_job_text_reg/31/05.txt

1 line
172 B
Plaintext

\v 5 Kama nimetembea katika udanganyifu, kama mguu wangu umeharakisha kwenda kusema uongo, \v 6 na nipimwe katika vipimo vilivyo sawa ili kwamba Mungu aujue uadilifu wangu.