\v 30 Ngozi yangu imekuwa nyeusi na inapukutika; mifupa yangu imeunguzwa na joto. \v 31 Kwa hiyo kinubi changu kimefunguliwa kwa nyimbo za maombolezo, zomari yangu kwa kuimba kwao waombolezao.