sw_job_text_reg/30/09.txt

1 line
292 B
Plaintext

\v 9 Lakini sasa, nimekua sababu ya wimbo wa dhihaka kwa wana wao; hakika, nimekuwa mzaa kwao. \v 10 Wananichukia na kusimama mbali nami; hawaachi kunitemea mate usoni. \v 11 Kwa maana Mungu ameondoa kamba katika upinde wangu na amenipiga, na hivyo watu hawa wanashindwa kujizuia mbele yangu.