\v 7 Walilia kwa uchungu porini kama punda; chini ya vichaka walikutana. \v 8 Walikuwa uzao wa wapumbavu, hakika, wa watu wasiofaa; waliondolewa duniani kama waarifu.