sw_job_text_reg/28/15.txt

2 lines
290 B
Plaintext

\v 15 Hainunuliwi kwa dhahabu; wala hailinganishwi na fedha. \v 16 Haiwezi kuthamanishwa na dhahabu
inayo patikana kwenye ardhi ya Ofiri, kwa jiwe jeusi la thamani au mawe yenye thamani. \v 17 Dhahabu angavu hailingani nayo kwa thamani; wala haiwezi kubadilishwa kwa vito vya dhahabu safi.