\v 22 Humpiga bila kukoma; hujaribu kumnasua katika uwezo wake. \v 23 Unampigia makofi kwa kejeli; humwondoa mahali pake.