sw_job_text_reg/27/13.txt

1 line
176 B
Plaintext

\v 13 Hii ndiyo hatima ya waovu mbele za Mungu, urithi wa mtesaji ataupokea kutoka kwa Mwenyezi. \v 14 Ikiwa watoto wake wataongezeka, ni kwa upanga; uzao wake utakuwa na njaa.