sw_job_text_reg/27/01.txt

1 line
222 B
Plaintext

\c 27 \v 1 Ayubu akaendelea kuoengea na kusema, \v 2 "Kama aishivyo Mungu, ameniondolea haki yangu, Mwenyezi, aliyeyafanya maisha yangu kuwa machungu, \v 3 kadili uhai ungalimo ndani yangu uzima wa Mungu upo puani mwangu.