sw_job_text_reg/26/01.txt

1 line
242 B
Plaintext

\c 26 \v 1 Kisha Ayubu akajibu na kusema, \v 2 "Mmemsaidiaje Mtu aliyedhaifu! \v 3 Jinsi gani mmemshauri asiye na hekima na kutamka maneno yenye maarifa kwake! \v 4 Kwa msaada wa nani mmesema maneno haya? Ni roho ya nani iliyotoka ndani yenu?