sw_job_text_reg/24/05.txt

1 line
368 B
Plaintext

\v 5 Tazama, masikini hawa huenda kufanya kazi kama punda-mwitu mwituni, akitafuta chakula kwa uangalifu; pengine nyika itawapatia chakula kwa ajili ya watoto wao. \v 6 Lakini masikini huvuna katika mashamba ya wengine usiku; wanakusanya zabibu kidogo kutokana na mapato ya waovu. \v 7 Wana lala bila kujifunika wakati wa usiku; hawana cha kujifunika wakati wa baridi.