\v 21 Basi patana na Mungu na uwe na amani naye; kwa njia hiyo, mema yatakujia. \v 22 Nakusihi, pokea, maelekezo yake; uyatii maneno yake.