\v 4 Je ni kwa sababu ya uchaji wako kwake hata akukemee na kukuadhibu? \v 5 Je si kwa sababu ya wingi wa uovu wako? Je hakuna mwisho wa makosa yako?