sw_job_text_reg/21/27.txt

1 line
164 B
Plaintext

\v 27 Tazama, nayajua mawazo yenu, na jinsi mnavyotaka kunikosesha. \v 28 Kwa kuwa mwasema, 'Iko wapi sasa nyumba ya mwana wa mfalme? Liko wapi kao alipokaa mwovu?'