1 line
362 B
Plaintext
1 line
362 B
Plaintext
\v 17 Pumzi yangu mimi ni chukizo kwa mke wangu; Hata mimi ninachukiwa na wale ambao walizaliwa kutoka katika tumbo la mama yangu mimi. \v 18 Hata watoto wachanga wananichukia mimi; ikiwa Mimi nitainuka kuzungumza, wao huzungumza dhidi yangu mimi. \v 19 Rafiki zangu wote niliowazoea wananichukia sana mimi; wale ambao Mimi ninawapenda wamegeuka kinyume na mimi. |