\v 1 Ndipo Ayubu akajibu na kusema, \v 2 lini mtanifanya mimi kuteseka na kunivunja vunja mimi vipande vipnde kwa maneno?