sw_job_text_reg/18/12.txt

1 line
185 B
Plaintext

\v 12 Utajiri wake utageuka kuwa njaa, na majanga yatakuwa tayari upande wake. \v 13 Sehemu za mwili wake zitakuwa zimemezwa; Hakika, mzaliwa wa kwanza wa kifo atazila sehemu zake yeye.