sw_job_text_reg/18/09.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 9 Tanzi litamchukua yeye kwa kisigino; mtego utabaki kushikilia juu yake. \v 10 Tanzi limefichwa kwa ajili yake chini ya ardhi; na mtego kwa ajili yake katika njia. \v 11 Watishao watamfanya yeye aogope juu ya sehemu zote; wao watamkimbiza yeye kwenye visigino vyake.