sw_job_text_reg/15/31.txt

1 line
328 B
Plaintext

\v 31 Mwacheni yeye asitumaini katika vitu visivyofanya kazi, akijidanganya yeye mwenyewe; maana upuuzi utakuwa mshahara wake yeye. \v 32 Itatokea kabla ya wakati wake yeye atapaswa kufa; tawi lake halitakuwa kijani. \v 33 Yeye atazipukutisha zabibu zake zisizovunwa kama mzabibu; yeye atayaondoa maua yake kama mti wa mzeituni.