sw_job_text_reg/14/15.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 15 Wewe ungeita, na mimi ningekujibu wewe. Wewe ungekuwa na shauku ya kazi ya mikono yako. \v 16 Wewe ungehesabu na kutunza nyayo zangu; Wewe usingejali kumbukumbu ya dhambi yangu. \v 17 Uovu wangu ungetiwa muhuri katika mkoba; wewe ungeufunga uovu wangu.