sw_job_text_reg/13/23.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 23 Je, maovu yangu na dhambi zangu ni ipi? Nijulishe kosa langu na dhambi yangu. \v 24 Kwa nini unaficha uso wako kutoka kwangu mimi na kunitendea mimi kama adui yako? \v 25 Je, wewe utalitesa jani linalopeperushwa? Je, utaendelea kulifuatilia bua kavu?