sw_job_text_reg/13/16.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 16 Hi kitakuwa sababu ya kutohesabiwa hatia, kwamba mimi sikuja mbele zake kama mtu asiyemcha Mungu. \v 17 Mungu, sikiliza kwa makini kuzungumza kwangu; ruhusu kutangaza kwangu kusikike kwenye masikio yako.