sw_job_text_reg/10/01.txt

1 line
301 B
Plaintext

\c 10 \v 1 Nimechoka kuishi; Nitanena wazi manung'uniko yangu; nitasema kwa uchungu wa roho yangu. \v 2 Nitamwambia Mungu, 'Usinihukumie makosa; nionyeshe sababu za wewe kunilaumu mimi. Je \v 3 ni vizuri kwako wewe kunionea mimi, kudharau kazi ya mikono yako wakati unafurahia juu ya mipango ya waovu?