sw_job_text_reg/09/25.txt

1 line
257 B
Plaintext

\v 25 Siku zangu zinapita haraka kuliko tarishi akimbiae; siku zangu zinakimbia mbali; wala hazioni mema mahali popote. \v 26 Zinapita kama mashua zilizoundwa kwa majani ya mafunjo ziendazo kwa kasi, na zinakasi kama tai ashukaye upesi katika mawindo yake.