sw_job_text_reg/08/13.txt

1 line
261 B
Plaintext

\v 13 Hivyo pia njia ya wote waliomsahau Mungu, na matumaini ya asiyeamini Mungu yatatoweka. \v 14 Ujasiri wake utavunjika, na matumaini yake ni dhaifu kama utando wa buibui. \v 15 Ataitegemea nyumba yake, lakini haitamsaidia; atashikamana nayo, lakini isidumu.