sw_job_text_reg/08/01.txt

1 line
238 B
Plaintext

\c 8 \v 1 Kisha Bildadi kutoka kabila la Washuhi akajibu na kusema, \v 2 "hata lini wewe utasema mambo haya? Kwa muda gani maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo wenye nguvu? \v 3 Je Mungu hupotosha hukumu? Je Mwenyezi hupotosha haki?