sw_job_text_reg/04/18.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 18 Tazama, kama Mungu hawaamini watumishi wake; kama hulaumu upumbavu wa malaika zake, \v 19 je si zaidi sana ukweli huu kwa wale waishio katika nyumba za udongo, ambao misingi yao ipo katika vumbi, wale waliopondwa mbele ya nondo?