sw_job_text_reg/03/17.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 17 Huko waovu huacha kusumbua; huko waliochoka hupumzika. \v 18 Huko wafungwa kwa pamoja hupata amani; hawaisikii sauti ya msimamizi wa watumwa. \v 19 Wote wadogo na watu maarufu wako huko; mtumishi yuko huru kwa bwana wake huko.