sw_job_text_reg/02/07.txt

1 line
191 B
Plaintext

\v 7 Kisha Shetani akatoka mbele ya uso wa BWANA. Akampiga Ayubu na majipu mabaya toka wayo wa mguu hadi kichwani. \v 8 Ayubu akachukua kipande cha kigae kujikunia, na akaketi chini majivuni.