sw_job_text_reg/02/04.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 4 Shetani akamjibu BWANA na kusema, "Ngozi kwa ngozi, kweli; mtu atatoa vyote alivyo navyo kwaajili ya uhai wake. \v 5 Lakini nyosha mkono wako sasa na uguse mifupa yake na nyama yake, na uone kama hatakufuru mbele ya uso wako." \v 6 BWANA akamwambia Shetani, "Tazama, yumo mkononi mwako; ni uhai wake tu ambao lazima uutunze."