sw_job_text_reg/01/18.txt

1 line
329 B
Plaintext

\v 18 Wakati alipokuwa akiendelea kusema, akatokea mjumbe mwingine pia na kusema, "Wanao wa kiume na binti zako walikuwa wakila na kunywa mvinyo nyumbani mwa ndugu yao mkubwa. \v 19 Upepo wenye nguvu ulitokea jangwani na ukapiga pembe nne za nyumba. Ikawaangukia vijana hao, na wakafa wote. Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari.