\v 19 Tazama, hii ni "furaha" ya mtu mwenye tabia hiyo; mimea mingine itachipuka toka katika udongo ule ule mahali pake. \v 20 Tazama, Mungu hatamtupa mtu asiye na kosa; wala hatawathibitisha watendao uovu.