\v 9 Je nyati atakuwa na furaha kukutumikia? Je atakubali kukaa katika zizi lako? \v 10 Waweza kumwongoza nyati kulima mtaro kwa kamba? Je atachimba bonde kwa ajili yako?