\v 30 Angalia, hueneza mwanga wake kumzunguka na kufunika mizizi ya bahari. \v 31 Kwa namna hii huyahukumu mataifa na kuwapa chakula kwa wingi.