\v 19 Mtu huadhidibiwa pia na maumivu kitandani mwake, na maumivu makali yanayodumu katika mifupa yake, \v 20 ili kwamba maisha yake yachukie chakula, na roho yake ichukie vyakula vizuri.