\v 8 Umesema kwa hakika katika masikio yangu; nimeisikia sauti ya maneno yakeo yakisema, \v 9 'Mimi ni safi na bila hila; sina hatia, na hakuna dhambi ndani yangu.