\v 5 Kama nimetembea katika udanganyifu, kama mguu wangu umeharakisha katika uongo, \v 6 na nipimwe katika vipimo vilivyo sawa ili kwamba Mungu aujue uadilifu wangu.