\v 18 Nguvu kuu ya Mungu imeshika mavazi yangu; yananizunguka kama kala ya vazi langu. \v 19 Amenitupa matopeni; nimekuwa kama vumbi na majivu.