\v 23 Mungu hufahamu njia ya kuipata; anapafahamu ilipo. \v 24 Kwani uona miisho yote ya dunia na huona chini ya mbingu zote. \v 25 Hapo kale, alifanya nguvu za upepo na kuyagawanya maji kwa kipimo.