\v 9 Huufunika uso wa mwezi na kueneza mawingu yake juu yake. \v 10 Amechora ukingo wa duara juu ya maji kama mpaka kati ya nuru na giza.