\v 16 Mizizi yake itanyauka chini yake; juu tawi lake yeye litakatwa. \v 17 Kumbukumbu lake yeye litapotea kutoka katika nchi; yeye hatakuwa na jina katika mtaa.