\v 1 Zaidi ya hayo, Elihu aliendelea kusema: \v 2 "Sikilizeni maneno yangu, ninyi watu wenye hekima; nisikieni, ninyi mlio na maarifa. \v 3 Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno kama ambavyo kaakaa huonja chakula.