\v 7 Hata ndege mwindaji hapajui, wala jicho la kipanga halijapaona. \v 8 Ndege mwenye majivuna hajawai kuiona njia hiyo, wala simba mkali kupita pale.