\v 32 Yeye huuijaza mikono yake kwa mwanga mpaka pale anapouamuru kupiga shabaha yake. \v 33 Na muungurumo wake huonya kwa dhoruba, wanyama wanaweza kusikia kuja kwake.