\v 31 Ayubu, zingatia na unisikilize mimi; nyamaza nami nitasema. \v 32 Ikiwa una kitu cha kusema, na unijibu; sema, maana nataka kuhakikisha kwamba wewe uko katika haki. \v 33 Kama sivyo, basi nisikilize, ubaki kimya, nami nitakufundisha wewe hekima."