\v 10 Watoto wake wataomba msamaha kwa watu maskini, mikono yake itaweza kurudisha utajiri wake. \v 11 Mifupa yake imejaa nguvu za ujanani, lakini zitalala naye chini katika mavumbi.