\v 14 Ilikuwa usiku wakati nilipopatwa hofu na kutetemeka, na mifupa yangu yote ikatikisika. \v 15 Kisha nafsi ikapita mbele ya uso wangu, na nywele zangu za mwili zilisimama.