\v 4 Hakika midomo yangu haitanena uovu, wala ulimi wangu kunena uongo. \v 5 Sitakiri kwamba mko sahihi; hata nifapo sitakana uadilifu wangu.