\v 4 Uliniambia, 'Sikiliza sasa, nami nitasema; nitakuuliza mambo, nawe utaniambia.' \v 5 Nimekuwa nikikusikia kwa usikivu wa sikio langu, lakini sasa jicho langu linakuona wewe. \v 6 Basi ninajidharau mwenyewe; ninatubu kwa mavumbi na majivu."