\v 17 Yeye huuondoa mkia wake kama mti wa mwerezi; mishipa ya paja lake imeunganishwa pamoja. \v 18 Mifupa yake ni kama ya mirija ya shaba; na miguu yake ni kama kipande cha chuma.