\v 10 Jivike sasa katika utukufu na katika utu; jivalie mwenyewe heshima na enzi. \v 11 Sambaza ziada ya hasira yako; mtazame kila mmoja mwenye kiburi na umshushe chini.